-->

Picha: Wasanii wa Fialamu ya Tajiri Mfupi Watoa Msaada Kituo cha HURUMA

Wasanii wa filamu nchini Mr Kupa na Chodo, walitembelea katika kituo cha watoto Yatima kilichopo Tabata, kwaajili ya kutoa msaada katika kituo cha HURUMA, kama sehemu ya shukrani kwa kuingia kwa filamu mpya ya Tajiri MFUPI sokoni siku ya leo.

TAJIRI MFUPI98

TAJIRI MFUPI673 TAJIRI MFUPI555 TAJIRI054 TAJIRI MFUPI654 TAJIRI MFUPI67 TAJIRI MFUPI56 TAJIRI MFUPI5

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364