Artists News in Tanzania

Diamond, Harmonize na DJ D-Ommy Washinda Tuzo za Afrimma 2016

Diamond Platnumz, Harmonize na DJ D-Ommy, wameibuka washindi kwenye tuzo za Afrimma 2016, zilizofanyika Dallas, nchini Marekani Jumamosi hii.

Diamond ameibuka mshindi wa tuzo ya Msanii bora wa kiume Afrika Mashariki, Harmonize Msanii bora chipukizi na D- Ommy, DJ bora wa Afrika.

“Team Tanzania Mungu ni mwema siku zote,” ameandika Harmonize baada ya ushindi huo.

Harmonize akiwa na Tekno

Diamond na D-Ommy hawakuwepo kwenye tuzo hizo.

Bongo5

Comments

comments

Exit mobile version