Artists News in Tanzania

Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi imezuia Bomoabomoa ya Nyumba za Wananchi Bonde la Mto Msimbazi

Mahakama kuu kitengo cha ardhi imezuia bomoabomoa ya Nyumba za wananchi bonde la mto Msimbazi hadi kesi ya msingi ikamilike Jan,11 mwaka huu.

Hukumu hiyo inafuatia shauri lililofunguliwa na Mbunge wa Kinondoni (CUF) Maulid Mtulia, kufungua kesi katika Mahakama kuu ya Ardhi kupinga ubomoaji wa nyumba uliokuwa ukiendelea bila kutoa njia mbadala za makazi ya wale wanaobomolewa.

Cloudsfm.com

Comments

comments

Exit mobile version