Artists News in Tanzania

Matonya Atua kwa Gigy

Baada ya fununu kuzagaa kuwa kwa sasa Giggy Money ameiparamia ndoa ya Matonya na imekua ni mwendo wa kunyweshana supu tu, wawili hao wamefunguka juu ya ishu hiyo.

Akizungumza na eNewz Matonya hakutaka kufunguka wazi kuwa ameshaonja supu ya Gigy,na huku Gigy akisema wazi kuwa mpaka sasa msanii huyo kashakunywa kabisa supu yake ingawa inafahamika ana mkewe wake wa ndoa.

“Salamu kwa mkewe sasa Matonya kwangu ni zaidi ya mpenzi akiwa kwake nafasi ni yake na akiwa kwangu ni zaidi ya mpenzi,”alisema Gigy.

Comments

comments

Exit mobile version