Picha 10 za Harusi ya Wastara na Mh Sadifa Khamis Juma (MB)
editor
Msanii wa filamu, Wastara Juma Alhamisi ya wiki hii, alifunga ndoa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa chama cha CCM (UVCCM) Taifa ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Donge, Sadifa Khamis Juma.