Artists News in Tanzania

Picha: EATV Awards Yafanya Semina na Wasanii Wanaowania Tuzo

Tuzo za EATV Awards 2016 Jumatano hii imefanya semina maalumu na wasanii wanaowania tuzo kutoka katika vipengele mbalimbali vya tuzo hizo ambazo kilele chake kinatarajiwa kuwa Desemba 10 mwaka huu.
gabo-akiuliza-swali-kwa-mtafiti-wa-masuala-ya-sanaa-kutoka-basata
Msanii wa filamu Gabo akiuliza jambo

Semina hiyo ilihusisha viongozi wa Baraza la Sanaa Taifa (BASATA), waandaaji wa tuzo hizo (EATV) pamoja na nominees kutoka katika vipengele vyote huku mada kubwa ambayo ilitawala kwenye semina ni sheria na vigezo vya tuzo hizo na jinsi washindi wanavyopatikana. Angalia picha za semina hiyo.


Mmoja kati ya waratibu wa tuzo hizo, Bhoke Egina akifafanua jambo.

Mtafiti wa shughuli za sanaa kutoka Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) Bwana Selemani akizungumza na wasanii wanaowania tuzo.


Mayunga

Mtangazaji wa EA Redio, Zembela akifafanua jambo

Shetta

Navy Kenzo

Bongo5

Comments

comments

Exit mobile version