Artists News in Tanzania

Picha: Mafufu Asherekea Siku Yake ya Kuzaliwa na Watoto Yatima

mafufu2

Juzi siku ya Valentine’s Day, mkali wa Bongo Movies, Jimmy Mafufu mkali wa ‘Ishakuwa soo’ filamu inayofanya vizuri sokoni hivi sasa, ilikuwa ni siku yake ya kuzaliwa ambapo alisherekea kwa kutoa sadaka katika kituo cha watoto Yatima kilichopo Tandale.

Tukio hilo liliudhukiwa na wasanii kadhaa walioshiriki kwenye filamu ya ‘Ishakuwa Soo’ akiwemo Niva, Duma na mtayarishaji wa filamu John Lister.

Hizi ni baadhi ya picha za tukio zima.



Comments

comments

Exit mobile version