-->

Tag Archives: MAFUFU

Picha: Mafufu Asherekea Siku Yake ya Kuzali...

Post Image

Juzi siku ya Valentine’s Day, mkali wa Bongo Movies, Jimmy Mafufu mkali wa ‘Ishakuwa soo’ filamu inayofanya vizuri sokoni hivi sasa, ilikuwa ni siku yake ya kuzaliwa ambapo alisherekea kwa kutoa sadaka katika kituo cha watoto Yatima kilichopo Tandale. Tukio hilo liliudhukiwa na wasanii kadhaa walioshiriki kwenye filamu ya ‘Ishakuwa Soo’ akiwemo Niva, Duma na […]

Read More..

Ishakua Soo Itamembeba Niva- Jimmy Mafufu

Post Image

MTAYARISHAJI na mwigizaji wa filamu Bongo Jimmy Mafufu ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa filamu ijayo hajaona msanii wa Bongo wa kumshirikisha kwani wasanii wengi ameshawashirikisha katika filamu zake nyingi na sasa anaangalia uwezo wa kuwatumia wasanii wakubwa kutoka . “Sioni tena msanii wa kumshirikisha filamu zangu za kiume maana katika filamu yangu […]

Read More..

Baada ya Jimmy Mafufu Kushindwana na Jason ...

Post Image

MWIGIZAJI na mtayarishaji wa filamu Swahilihood Jimmy Mafufu amemwangukia msanii wa filamu Bongo Zubery Mohamed ‘Niva’ kwa kumshirikisha katika filamu ya Ishakua soo sinema ambayo ipo njia kutoka tarehe 15.February .2016 awali msanii huyo alikuwa na mpango wa kumshirikisha msanii mkubwa kutoka nchini Marekani Jason Statham katika filamu hiyo ambayo ni filamu ya kipekee kwa […]

Read More..

Mafufu Kufungua Chuo cha Sanaa Baada ya Mie...

Post Image

MTAYARISHAJI na mwigizaji wa filamu Swahilihood Jimmy Mafufu anayegombea kuwa mwenyekiti wa TDFAA- Taifa amefunguka moja ya mambo muhimu ambayo yanachelewesha kuleta ukuaji wa tasnia ya filamu kwa ukosefu wa Vyuo na kwake ndio kipaumbele chake cha kwanza. Akiongea na FC Mafufu amesema kuwa kuna mambo mengi lakini kwake amegundua lazima elimu kwa kwanza kwa […]

Read More..

Mchuano Mkali TDFAA 2015, Jimmy Mafufu, Mik...

Post Image

MCHUANO mkali katika kinyang’anyiro cha kugombea nafasi ya mwenyekiti wa chama cha waigizaji Taifa (TDFAA) huku wasanii wenye ushawishi kwa wasanii wenzao wakijitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo anasema katibu Twiza. “Mchuano ni mkali kila mhusika amepanga kuwa ni mshindi katika kinyang’anyiro cha kugombea nafasi ya uenyekiti Kitaifa kwa chama cha Waigizaji, hadi sasa […]

Read More..