Video: ‘Pacha’ wa Harmonize, Harmorapa Aachia Video ya Wimbo Wake Mpya ‘Usigawe Pasi’
editor
Msanii wa muziki, Hamorapa anayedai ni pacha wa Harmonize ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Usigawe Pasi’ aliomshirikisha Em One. Video imeongozwa na Khero One.