Video: Professor Jay – Kibabe editor 9 years ago Mbunge wa jimbo la Mikumi na msanii mkongwe wa Bongo fleva Joseph Haule a.k.a Professor Jay ameachia video yake mpya wimbo unaitwa “Kibabe”. Video imeongozwa na Hanscana. Comments commentsSee more