Artists News in Tanzania

Babu Seya na Papii Kocha rasmi waingia studio

Wasanii wa muziki wa dance nchini ambao wameachiwa hivi karibuni kutoka gerezani kwa msamaha wa Rais JPM, Babu Seya na Papii Kocha Leo January 5, 2017 wametembelea studio za Wanene ambapo walipelekwa na Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Juliana Shonza.

Wasanii hao baada ya kutembelea studio za Wanene walifanya mazungumzo na Uongozi wa Wanene ikiwa ni kwa lengo la kufanya nao kazi, wamezungumza na vyombo vya habari na kuelezea kuhusu utayari wao kufanya kazi na tutegemee kama watafanya bongofleva.

Chini tazama Video yao kutoka mtandao wa Millardayo

Comments

comments

Exit mobile version