VideoMPYA: Hatimaye Billnass katuletea ‘T...
Msanii wa Bongofleva Billnass anatualika kutazama video mpya ya wimbo wake unaoitwa ‘Tagi Ubavu‘ ambayo Audio imetayarishwa na Producer Mr T-touchez na video imeandaliwa na Directer Travellah ambayo video inadakika 3:39. Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama Video hiyo..
Read More..