VIDEOMPYA: SELINE- CHAPALAPA
Msanii Seline ambaye aliwai kuwa katika Label ya The Industry ila kwa sasa anasimamiwa na producer Monagenster, anatualika kuitazama video yake mpya, audio ikiwa imetayarishwa na Producer Abba na video ikiwa imeandaliwa na Director Joowzey location ikiwa ni Dar es Salaam.