-->

Daily Archives: April 30, 2016

Makala: Hiki Ndicho Kinachozikwamisha Filam...

Post Image

Ni lini mara ya mwisho umekutana na trailer ya filamu ya Kibongo mtandaoni au kwenye TV na ikakuvutia kiasi cha kuingia mtaani kuitafuta? Lakini ni mara ngapi unaona trailer za filamu za Hollywood kwenye Youtube na kupata hamu kubwa ya kwenda kuiona kwenye majumba ya sinema kuiangalia ama kuzama kwenye torrent kuishusha? Naamini ni mara […]

Read More..

Tuwaombee Diamond na Alikiba – Dogo Janja

Post Image

Msanii Dogo janja amewataka watu kuwaombea wasanii Alikiba na Diamond, ili waendelee kuiwakilisha Tanzania vyema kimataifa kama wanavyofanya. Dogo Janja ameyasema hayo alipokuwa akichati na mashabiki wake, alipotoa fursa hiyo kwa wale wanaomfuata kwenye mtandao wa instagram na kujibu moja ya swali la shabiki alipouliza ni msanii yupi kati ya hao anamkubali zaidi. “Wote nawakubali […]

Read More..

Idris Aeleza Jinsi Watu Walivyofuja Pesa Za...

Post Image

Mshindi wa shindano la Big Brother Africa 2014, Hotshots Idris Sultan, amevunja ukimya na kuzungumzia tetesi ambazo zilikuwa zinazagaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba kuna mtu alimpatia pesa zake kwa ajili ya biashara lakini akazitumia vibaya kinyume na makubaliano. Ikumbukwe mshindi huyo wa Big Brother Africa 2014, alipata zaidi ya milioni 500. Pesa ambayo alidai […]

Read More..

Sugu Kuja na Shindano la‘Freedom’, Msin...

Post Image

Baada ya wimbo wa ‘Freedom’ kufanya vizuri kwenye media mbalimbali, Sugu anajipanga kuandaa shindano litakaloshindanisha wimbo utakaouzidi wimbo huo. Siku kadhaa zilizopita baada ya Sugu kuachia video ya wimbo wa ‘Freedom’ ulizua taharuki baada Mr Blue kulalamika kuwa Sugu kamuibia wimbo wake kabla ya uongozi wa studio ya MJ Record ambapo wimbo huo ulitayarishwa kuliweka […]

Read More..

Niva Atoboa Sababu ya Nay wa Mitego Kuachwa...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Niva Super Mariyoo, ambaye alionja joto ya jiwe kwa muda fulani baada ya kutajwa kwenye wimbo wa Nay wa Mitego ‘Shika adabu yako’ na kusema “Huyo msanii huyo hana hata chumba cha kupanga ila anaishi kwenye gari”. Niva amefunguka na kusema kuwa Nay wa Mitego siku zote huwa anaimba watu maarufu […]

Read More..