-->

Author Archives: editor

Monalisa kuipeleka tuzo ya APA Bungeni

Post Image

Dar es Salaam. Siku mbili baada ya msanii Yvonne Cherrie ‘Monalisa’, kuibuka msanii bora wa kike katika tuzo za za African Prestigious Awards (APA), anatarajia kuipeleka tuzo hiyo Bungeni kesho. Utoaji wa tuzo hizo ulifanyia Aprili 14, mwaka huu Accra, Ghana ambapo lengo lake ni kutambua maendeleo na tija aliyonayo mtu kwenye nyanja za uongozi, […]

Read More..

Monalisa kuwabwaga kina Lupita Nyong’o?

Post Image

Baada ya muigizaji wa filamu nchini Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ kutajwa kuwania tuzo za The African Prestigious Awards kama Muigizaji bora Afrika huku akitarajiwa kushindana na mastaa wakubwa Afrika amesema hata asipopata tuzo tayari anaamini ni hatua Monalisa amezungumza hayo wakati akikabidhiwa bendera ya Taifa na Waziri wa Habari, Michezo, Sanaa na Utamaduni, Mh. Harrison Mwakyembe […]

Read More..

Wema, Diamond masaprize kibao

Post Image

JUZI Jumapili wakati watu wakisherehekea Sikukuu ya Pasaka kwenye kona mbalimbali za kula bata, wadau wa Sanaa nchini wakiwemo wasanii wenyewe walikuwa pale Mlimani City, Dar es Salaam, wakifanya yao. Kwa baadhi ya wasanii ilikuwa ni bonge la saprize iliyojaa furaha pale walipotangazwa kuwa washindi kwenye tuzo za filamu za Sinema Zetu International Film Festival […]

Read More..

1

Duma Kuirudisha Bongo Muvi

Post Image

Msanii wa filamu bongo, Daudi Michael maarufu kama ‘Duma’ amesema lengo la yeye kumuita nchini msanii kutoka nchi ya Australia John K ni kutaka kuirudisha hadhi ya filamu ambayo imepotea kwa kipindi kirefu katika macho ya watu. Duma amebainisha hayo wakati alipokuwa anazungumza kwenye kipindi cha eNewz kutoka EATV muda mchache baada ya kumpokea mgeni […]

Read More..

Ebitoke Afunguka Mapya Kuhusu Mahusianao ya...

Post Image

Msanii wa vichekesho bongo ambaye inasemekana yupo kwenye mahusiano na msanii Ben Pol, amesema kipindi mahusiano yao yalipoonekana yamekufa, ukweli ni kwamba penzi hilo halikufa isipokuwa Ben Pol alimtuliza ili asiyaweke sana kwenye mitandao. Akizungumza na mwandishi wa EATV.TV, Ebitoke amesema baada ya kulalamika kuwa Ben Pol hapokei simu zake na hamjali, Ben Pol alimuomba […]

Read More..

Khadija Kopa Afunguka Kutaka Kuolewa

Post Image

Malkia wa Mipasho nchini Tanzania asiyekuwa na mshindani, Khadija Kopa ametangaza rasmi kuhitaji mume wa kumuoa ili aweze kuishi naye huku akiweka vigezo vyake kuwa hataki aliyechini ya miaka 40 kwa madai hawezi kufundisha tution. Khadija Kopa ametoa kauli hiyo wakati alipokuwa anazungumza kwenye kipindi cha KIKAANGONI cha  EATV. “Sijaolewa ila sitaki kusomesha tuition, nataka […]

Read More..

Mama Uwoya Afunguka Mapya Kuhusu Ndoa ya Ir...

Post Image

Dar es Salaam. Mama yake, Irene Uwoya, Neema Mrisho amesema hampendi Dogo Janja kwa sababu msanii huyo hana adabu. Ameyasema hayo ikiwa ni siku chache baada ya Irene Uwoya kusema ameshindwa kumpeleka Dogo Janja kwa wazazi wake, kutokana na kuwa mama yake kuwa mtu wa kusafiri mara kwa mara. Akizungumza na MCL Digital leo Machi […]

Read More..

Shilole na Uchebe wafunguka kuhusu ndoa kuv...

Post Image

Msanii wa muziki bongo ambaye kwa sasa mjasiriamali anayehakikisha matumbo ya watu yanapata afya, Shilole au Shishi Trump, hatimaye amefunguka kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake na mume wake Uchebe. Akizungumza na mwandishi wa EATV Shilole amesema hajaachana na mume wake na wala hawafikirii kuachana. Kwa upande wa mume wake Shilole Bwana Uchebe amesema sio kweli […]

Read More..

Napewa mabusu kama mtoto wa njiwa – Riyam...

Post Image

Msanii wa Filamu Bongo, Riyama Ally amesema moja ya tabia zinazomchanganya kutoka kwa mume wake, Leo Mysterio ni kupewa mabusu ya kila mara. Muigizaji huyo ameiambia Times Fm kuwa kitendo kimekuwa kama mfumo wa maisha yao kwa sasa. “Naona kama ananiibia, mabusu yale, ana mabusu huyu kulamba lambana kama majibwa,” amesema Riyama. “Nikirudi tu, huko […]

Read More..

Johari kutinga bungeni 2020

Post Image

Blandina Chagula maarufu Johari mwanadada ambaye amewahi kutamba kwenye tasnia ya maigizo na filamu nchini ameweka wazi kuwa ana mpango wa kugombea Ubunge kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2020. Johari ambaye kwasasa ni mmoja wa Wakurugenzi wa kampuni ya filamu ya RJ huku yeye akiwa hashiriki sana kwenye filamu kwasasa kama muigizaji amefunguka kuwa muda ukifika […]

Read More..

Matano (5) Usizozijua Kuhusu Baunsa wa Diam...

Post Image

SUALA ya ulinzi halina mjadala kwa watu maarufu kwani humuweka msanii kwenye nafasi nzuri zaidi ya usalama anapokuwa kwenye shughuli zake za kikazi. Ndiyo maana nyota wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amelitambua hilo na mara zote huwa anaambatana na baunsa wake, Mwarabu Fighter, ‘jitu’ la miraba minne lililojengeka misuli kwa ulinzi anapokuwa kwenye […]

Read More..

Nyimbo nyingine zaidi kufungiwa

Post Image

Siku tano baada ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kusitisha kuchezwa kwa nyimbo 15 zisizokuwa na maadili, zikiwemo mbili za msanii Nassib Abdul maarufu Diamond, Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limesema hivi karibuni litatoa orodha ya nyimbo nyingine zitakazofungiwa. Akizungumza na MCL Digital leo Machi 5, 2018 katibu mtendaji wa Basata, Godfrey Mngereza, amesema […]

Read More..

Wolper: Sijawahi Kuumia Kuachana na Mpenzi

Post Image

STAA wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa licha ya kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanaume tofauti na kubwagana nao, kamwe hajawahi kuumia kuachana nao. Akichonga na Showbiz Xtra, Wolper alisema alikuwa na kawaida ya kuwaanika wanaume aliokuwa akiingia nao kwenye uhusiano ili watu wote wajue akidhani itakuwa ngumu kusalitiwa lakini ikawa kinyume […]

Read More..

Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu atoa neno kw...

Post Image

Wasanii wa filamu nchini wametakiwa kuzingatia maadili na nidhamu ili waweze kufanikiwa katika kazi zao. Rai hiyo imetolea na Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania, Joyce Fissoo alipokuwa akiwasilisha mada katika kikao kazi cha maafisa Utamaduni na wadau wa tasnia ya filamu wa mkoa wa Arusha iliyofanyika jana Jijini Arusha. Mama Fissoo alisema kuwa […]

Read More..

Wastara Aelezea Mpasuko Kwenye Fuvu la Kich...

Post Image

Msanii wa filamu nchini Wastara Juma amefunguka na kudai baada ya kufanyiwa vipimo vyote nchini India amebainika kuwa na tatizo kwenye fuvu lake la kichwa ambapo hilo ndio lililokuwa likimfanya akose usingizi hapo awali bila ya yeye kujitambua. Wastara ameeleza hayo mara alipowasili katika ardhi ya Tanzania akiwa anatokea nchini India ambako alienda kufanyiwa matibabu […]

Read More..

Ray, JB Waapa Kutoana Meno Pasaka!

Post Image

WAKALI wa filamu za kibongo nchini, Vicent Kigosi ‘Ray’ na Jacob Stephen ‘JB’ wameapa kupasuana vilivilivyo katika pambano la raundi nane ambalo siyo la ubingwa lilipangwa kufanyika usiku wa pasaka kwenye Uwanja wa Jamhuri Morogoro. Mbali ya manguli hao wa filamu nchini kutoka katika kiwanda cha Bongo Muvi, Bondia Twaha Hassan wa Morogoro  ‘Kiduku’ anatarajia kuzichapa dhidi ya Chimeme Chiota  […]

Read More..

Snura aweka wazi mahusiano yake mapya

Post Image

Msanii wa bongo fleva, Snura Mushi maarufu kama Malkia wa uswazi amefunguka kwa mara nyingine na kudai yeye hana roho ya ubinafsi kama walivyo watu wengine kwenye kutoa msaada kwa watu ambao wanahitaji kufikia malengo yao waliyojiwekea. Snura ametoa msimamo wake huo katika ukurasa wake maalumu wa kijamii baada ya watu kuendelea kutoa maneno yao […]

Read More..

Sugu, Masonga jela miezi mitano

Post Image

Mbeya. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imewatia hatiani mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga na kuwahukumu kifungo cha miezi mitano jela. Hukumu hiyo imetolewa leo Februari 26,2018 na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Michael Mteite. Sugu na Masonga wamehukumiwa kwa […]

Read More..