Kajala Amfanyia Kufuru Kassim Mganga
HUKU watu mbalimbali wakiwemo maarufu nchini wakilia kuwa, hali ya uchumi siyo nzuri ‘vyuma vimekaza’, mwanadada anayefanya vizuri kwenye ulimwengu wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ hivi karibuni ameibua gumzo baada ya kumfanyia kufuru Kassim Mganga ambaye ni staa wa muziki wa Bongo Fleva. Kufuru aliyoifanya Kajala ni ya kummwagia minoti Kassimu alipokuwa akitumbuiza […]
Read More..





