-->

Daily Archives: November 13, 2017

Idris Sultan amuandikia barua ya wazi Steve...

Post Image

Muigizaji na mchekeshaji  Bongo, Idris Sultan ameandika barua ya wazi kwenda kwa aliyekuwa muigizaji wa filamu nchini Steven Kanumba. Katika barua hiyo, Idris ameonyesha kuwa amewahi kuwa shabiki mkubwa wa marehemu na alihudhuria mazishi yake mwaka 2009. Kabla ya kuandika ujumbe huo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram, muigizaji huyo aliyepata dili la kuigiza filamu […]

Read More..

Mawakili wa Lulu wajipanga kukata rufaa

Post Image

Dar es Salaam. Muda mfupi baada ya Mahakama Kuu kumuhukumu msanii wa fani ya uigizaji filamu nchini, Elizabeth Michael kifungo cha miaka miwili jela, msanii huyo alianza mapambano upya kuhakikisha anarejea tena uraiani kwa njia ya dhamana na rufaa. Jaji Sam Rumanyika alimhukumu adhabu hiyo msanii huyo baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua […]

Read More..

Baada ya Hukumu Lulu, Mama Kanumba Afunguka

Post Image

Mama wa Muigizaji Marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amefunguka na kusema kwamba leo atakwenda makaburi ya kinondonni alipoziikwa mwanaye ili kwenda kumzika upya.   Mama Kanumba ametoa kauli hiyo muda mfupi baada ya Mahakama Kuu kumhukumu kifungo cha miaka miwili Muigizaji Elizabeth Michael ambaye alikuwa mtuhumiwa katika kesi ya mauaji bila kukusudia yaliyopelekea kifo cha […]

Read More..

Tunda Afungukia Mimba ya Mbongo Fleva

Post Image

BAADA ya habari kuzagaa kwamba mrembo anayeuza nyago kwenye video mbalimbali Bongo, Tunda Sebastian kuwa na ujauzito wa staa wa Bongo Fleva, ameibuka na kufungukia ishu hiyo. Akizungumza na Star Mix, Tunda alisema hana ujauzito wa msanii huyo kama watu wasemavyo na kwamba huwa anamuweka katika mitandao ya kijamii husan Instagram kwa sababu ya kumsapoti […]

Read More..

Msondo Yamdai Mamilioni Diamond

Post Image

WIMBO wa Zilipendwa ulioimbwa na waimbaji wa WCB na kujipatia umaarufu mkubwa, umeiponza lebo hiyo baada ya bendi kongwe ya muziki wa dansi nchini, Msondo Ngoma kudai fidia Sh300 milioni. Msondo inalalamikia kitendo cha WCB kutumia sehemu ya kazi yao katika wimbo huo uliimbwa na wasanii Harmonize, Diamond, Maromboso, Rich Mavoko, Lavalava, Queen Darleen na […]

Read More..