-->

Daily Archives: November 21, 2017

Irene Uwoya Avishwa Viatu vya Zari

STAA wa filamu za Kibongo Irene Uwoya, ameendelea kugonga vichwa vya habari za burudani baada ya mume wake, Hamad Ndikumana aliyefunga naye ndoa ya Kikristo kufariki dunia mapema wiki hii akiwa nyumbani kwake, Kigali nchini Rwanda. Kwa wiki tatu mfululizo Uwoya amekuwa hakuauki kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kwa tukio aliloliita ni […]

Read More..

Jengo la Studio za Clouds Media Group Linau...

Post Image

Dar es Salaam. Moto umezuka katika ofisi za Clouds Media Group na kusababisha Television na Radio Clouds kutokuwa hewani kwa muda. Moto huo ulianza saa 4 asubuhi katika chumba kimoja kwenye ghorofa ya kwanza uliosambaa kwenye jengo la kampuni hiyo. Hata hivyo hadi sasa chanzo cha moto huo hakijajulikana. Magari ya Zimamoto yapatayo manne yalifika […]

Read More..

Rose Ndauka: Awarushia Dongo Watoa Mimba

Post Image

MSANII wa Filamu Bongo, Rose Ndauka amewarushia dongo wasichana wa kizazi kipya ambao wengi wao wakipata mimba wanakimbilia kutoa badala ya kujifungua. Ndauka ameiambia Full Shangwe, kuwa wanawake wengi wakipata ujauzito hutoa bila kujua kuwa mtoto ni faraja ya mwanamke na uhusiano kwa ujumla. “Nawashangaa wasichana wengi ambao wakipata mimba wanakimbilia kutoa. I wish kama […]

Read More..

Diamond, Msondo Patamu Hapo

Post Image

MWIMBAJI wa Msondo Ngoma, Hassan Moshi William, amefafanua kilichowakera zaidi kwa Diamond Platnumz na kundi lake la WCB ni dharau ya kuwaita “zilipendwa” huku wakitumia kionjo chao bila ridhaa. Katika moja ya posti alizozitupia kwenye ukurasa wake wa Facebook, Hassan ambaye ni mtoto wa aliyekuwa mwimbaji na mtunzi tegemeo ndani ya Msondo Ngoma, marehemu Tx […]

Read More..