Picha: Show ya ‘The Black Tie’ ya Wema Sepetu na Christian Bella
Msanii wa muziki Christian Bella amefanya show ya nguvu katika show ya ‘The Black Tie’ ambayo iliandaliwa na malkia wa filamu Wema Sepetu.

Steve Nyerere amwaga mapesa kwa Christian Bella
Show hiyo ambayo imefanyika usiku wa Jumamosi hii katika ukumbi wa King Solomon jijini Dar es salaam, imeacha historia ya aina yake katika muziki kutokana wadau mbalimbali pamoja na mastaa wa filamu kushindana kumtuza msanii huyo. Katika show hiyo pia Bella alisindikizwa na Linex, Barnaba pamoja na Linah.
Pia mkali huyo wa masauti aliweza kuzindua CD yake ya show ya miaka 10 ya Christian Bella iliyofanyika mwezi mmoja uliyopita. Aliangalia za matukio ya show hiyo.

Bella akikusanya mshiko kwanza

Bella akimwagiwa dola

JB akimwaga pesa kwa Christian Bella

JB na Irene Uwoya

Mwendo wa pesa tu

Steve Nyerere na Mama Wema we acha tu

Irene Uwoya akimtuza Bella

Bella akicheza na bosi aliyemmwagia dola za kutosha

Bella akifanya yake

Bella, Wema Sepetu pamoja na Idris Sultan

CD mpya ya miaka 10 ya Christian Bella ikizinduliwa

Mama Wema akisaliamia mmoja kati ya wageni wa VIP

Mwendo ya pesa tu

Pesa kwanza mengine baadae

Shilole akisakata rumba na Esha Buheti

Steve Nyerere na Mama Wema we acha tu


























