-->

Alikiba Akerwa na Watanzania wanaomtusi Wizkid

Alikiba ameelezea kusikitishwa kwake na Watanzania wanaomtukana staa wa Nigeria, Wizkid kwenye akaunti yake ya Instagram. Kiba amesema anaamini wale wanaomtukana si mashabiki wake kwakuwa mashabiki wake wa ukweli wanajua jinsi anavyomkubali Wiz.

ALI KIBA54

Ali amesema yeye ni shabiki mkubwa wa Wizkid na amemsihi kuwapuuza watu hao wanaomtukana.

“I am not happy with what has been going on, on social media . I have a great appreciation for @wizkidayo as a fellow artist and as a fan . I am very disappointed and saddened by the insults and attacks directed at him, and I want to be very clear that I condemn this behaviour and I believe none of my true fans are part of this irrational silliness and stupidity as they know I have always had love for @wizkidayo,” ameandika Kiba.

“Drown out the noise from the haters bro, congratulations on your very successful year. Much love from my real fans and from Tanzania.”

Mambo yote hayo yamekuja baada ya MTV EMA kumnyang’anya tuzo Wizkid aliyokuwa ametangazwa kushinda na kumpa Alikiba.

Bongo5

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364