-->

Bifu la ‘Jike Shupa’ na Shilole Mtandaoni, Nuh Mziwanda Afunguka

Hivi karibuni kumekuwa na mabishano kwenye mitandao ya kijamii kati ya video queen wa ngoma ya Nuh Mziwanda na aliyekuwa na mpenzi wake Shilole, Nuh Mziwanda amepiga stori na Clouds FM.

Mziwanda Akiwa na video queen  wa kwenye video ya jike shupa

Mziwanda Akiwa na video queen wa kwenye video ya jike shupa

‘’Wale ni wanawake kwahiyo zile ni tofauti zao kwahiyo siwezi kuingilia na siwezi kuongea chochote yule demu mie nilimlipa pesa yake ya video akafanya kazi yangu kamaliza masuala yake yanayoendelea kimpango wake, kwahiyo siwezi kuingilia na wala sitaki kufuatilia na wala sitaki kujua kwasabbau nimeshamalizana naye. Yale ni maisha yake binafsi siwezi kuingilia’’ Alisema Nuh Mziwanda.

Cloudsfm.com

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364