-->

Diamond Kuliamsha Dude Leo!

Ni kweli Diamond anataka kuachia ngoma mpya Jumatano hii? Kama haufahamu hilo basi kaa tayari kulipokea hilo.

Msanii huyo amekuwa akiteka vichwa vya habari kila anapokaribia kuachia ngoma zake mpya kutokana na style anazotumia. Kupitia mtandao wa Instagram, Diamond ameahidi kuachia wimbo wake huo siku ya leo.

“@sallam_sk punguza Hasira ?… Xxl ya @Cloudfmtz na @Bdozen saba hadi Kumi Kamili Kesho…..☺,” ameandika jana Diamond katika mtandao huo.

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364