-->

Diamond Platnumz, Future na Cassper Nyovest wafunika usiku wa Castle Lite Unlocks (Full Video)

Jana usiku kulikuwa na tamasha kubwa la muziki la Castle Light Unlocks lililowakutanisha wasanii wakubwa wa kimataifa kama Diamond Platnum, Cassper Nyovest kutoka Afrika Kusini, Rapa Future kutoka Marekani na wengine na kundi la Weusi, Navy Kenzo na Vanessa Mdee wote kutoka Tanzania.

Kwenye Tamasha hilo Msanii Diamond Platnumz, Future na Cassper Nyovest wameonekana kusepa na kijiji kwani karibia nyimbo zao zote waliimba na mashabiki. Tazama show nzima hapa chini
Bongo5

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364