Goodluck Gozbert: Natumia Muda Mwingi Kutafakari Mambo Makuu Ya Ufalme Wa Mungu Na Muziki Wangu
Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Goodluck Gosbert amesema kuwa kwa sasa yupo singo na anatumia muda mwingi kutafakari mamb makuu ua Ufalme wa Mungu na muziki wake.
“Niko singo kwa sasa, lakini sio kwamba wasichana hawanisumbui napokea simu zao lakini kwa sasa sio wakati wakati wake, muda wangu mwingi nautumia kutafakari mambo makuu yanayohusu ufalme wa Mungu, na pia muziki wangu utakavyosogea, kwani dini yangu na imani yangu ukiona mtu ana mahusiano na mtu mmoja ina maana nafsi yake na kila alichonacho kimekubali huyo ndio sahihi kwake, kwa sasa sijampata mtu sahihi” Goodluck Gosbert
Cloudsfm.com