-->

Lulu Aifungukia Video ya Darassa, Aipa Namba Moja

Msanii wa Filamu nchini Elizabeth Michael ambaye amekuwa msanii wa kwanza kufungua kipindi cha ‘NgazKwaNgaz’ mwaka 2017 ametaja video zake 20 ambazo zilimkosha sana na kumfurahisha mwaka jana.

Katika ngoma 20 zilizofunga vizuri mwaka kwa Lulu Michael wimbo wa Darassa ‘Muziki’ ndiyo umekamata nafasi ya kwanza.

Lulu anadai kwa mara ya kwanza alipoiona video hiyo kwanza alidhani huenda imefanywa nje ya Tanzania, na alihisi huenda imeongozwa na director kutoka nje na kudai hakufikiria kabisa kama imeongozwa na director kutoka nyumbani.

Hii ndiyo list kamili ya video ambazo zimemkosha sana Lulu Michael mwaka jana.

01: Muziki ya Darassa (Tazama video hapo chini)
02: Company ya Justin Bieber
03: Koffi Anan ya Yemi Alade
04: Kajiandae ya Alikiba na Ommy Dimpozi
05: Kokoro ya Rich Mavoko Ft. Diamond Platnumz
06: Sweet Mangi ya Nikki Wa Pili Ft. Chin Bees
07: Do Good. ya Joe EL A.K.A Joel Amadi
08: Soldier ya Falz ft Simi
09: Nobody’s Business ya Skales  Ft. Banky W
10: Mama ya Kiss Daniel
11: Bad” ya Tiwa Savage featuring starboy Wizkid
12: No Kissing Baby by Patoranking feat. Sarkodie.
13: Don’t Mind ya Kent Jones
14: Ain’t Your Mama ya Jennifer Lopez
15: Lover boy ya Barnaba Boy
16: Perfect Combo ya Joh Makini feat Chidma
17: Moyo Mashine ya Ben Pol
18: Dume suruali ya Mwana FA
19: Kuliko jana by Sauti Sol
20: Ado ado ya Moe Music

eatv.tv

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364