-->

Ommy Dimpoz Awamwagia Sifa BASATA

Msanii wa bongo fleva Ommy Dimpoz amelisifia Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) kwa kuwafanyia kazi wasanii ambao wanajishughulisha na kuimba mambo yasiyofaa pamoja na matusi katika nyimbo zao.

ommy34

Akipiga story ndani ya eNewz amesema analipongeza baraza hilo kwa kuwachukulia sheria wasanii ambao wanaimba nyimbo zenye matusi na ambazo hazina maadili na kutengeneza maneno na mijadala isiyo ya msingi mitaani.

Hata hivyo Ommy Dimpoz hakusita kuweka wazi kuwa ana mpenzi na kuna siku atamtambulisha rasmi kupitia eNewz pia kutokumuweka wazi mpenzi wake ni maamuzi yake na hakuna ukweli juu ya usemi uliokuwa unasemwa kwamba hana ‘demu’.

 

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364