Picha ya Mtoto wa Diamond,Nillan
KWA mara ya kwanza, Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platnums ameianika sura ya mwanaye wa kiume, mdogo wake Tiffah aitwaye Nillan.
Diamond na mpenzi wake Zari, wameiweka hadharani picha ya mtoto wao huyo ambaye leo Februari 11, 2017 anatimiza siku 40 tangu alipozaliwa nchini Afrika Kusini.