-->

Romy Jones Atoa Sababu ya Diamond Kutohudhuria Birthday Yake

Romy Jons amefunguka Sababu ya Diamond kushindwa kuhudhuria kwenye sherehe yake ya kuzaliwa ambayo imezua tetesi za wawili hao kutoelewana.

diamond622

Akiongea kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM Jumamosi iliyopita, Romy alisema, “People don’t understand, halafu huwezi kumuelewesha kila mtu.”

“Ile ilikuwa ni party ambayo kila mtu alitakiwa aje afurahi, lakini at the end of the day kuna watu lazima watoke WCB waje. Sallam akanipigia simu kuwa huku kuna session watu wanarekodi lakini wakina Ray na wengine watachelewa kuja ila Nassib atabakia halafu atakuja,” ameongeza.

“Ray na Rich wamekuja pale saa tisa na nusu. At the end of the day Chibu na yeye anapiga simu kama saa kumi na nusu au 11 hivi mshamaliza? Can I come? Nikamwambia ukija labda tukusanye hela tu za mlangoni. Kwahiyo alikuwa studio kuna session anamalizia.”

Bongo5

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364