Alphonce Simbu ndani ya wanariadha 40, 800 ...
Mbio za Chicago Marathon zilizofanyika nchini Marekani leo hii 8/10/2017 zimemalizika zikiwashirikisha wanariadha 40,800 kutoka nchi mbali mbali duniani akiwemo mshiriki kutoka Tanzania ndugu Alphonce Simbu ambaye alishikiri mashindano hayo makubwa duniani . Kwa upande wa wanaume Mshindi katika Mashindano hayo alikuwa mwanariadha kutoka Marekani akifuatiwa na wanariadha wawili kutoka Kenya walioshika nafasi ya […]
Read More..