-->

Author Archives: shilla

About shilla

Hi there!

VideoMPYA: Rapper Rosa Ree katuletea “Mar...

Post Image

Rapper wa kike maarufu nchini Rosa Ree anakuletea ngoma yake mpya kabisa ijulikanayo kwa  jina la “Marathon” akiwa kamshirikisha Bill Nass.  Chini ni video ya wimbo wakwe mpya unakaribishwa kuitazama:      

Read More..

VideoMPYA: “Tuheshimiane” kutoka k...

Post Image

Baaada ya muda na kimya kirefu hatimae leo msanii Mr. Nice katuletea ngoma yake mpya ijulikanayo kwa jina la “Tuheshimiane”, chini ya uongozi wa Pizzo Mtena ikiwa imetengenezwa na I Studio. Bofya hapa chini kuitazama

Read More..

Multichoice imekuja na THE PUNGUZO- Miezi m...

Post Image

Punde tu baada ya kumaliza ofa mahsusi ya kufunga mwaka, MultiChoice Tanzania imetangaza neema kwa wateja wake wapya watakaojiunga kipindi hiki cha mwanzo wa mwaka ambapo watajipatia ofa ya kifurushi kwa muda wa miezi miwili bure! THE PUNGUZO- Ni Kwa shilingi 79,000 tu, mteja anapata vifaa vyote vya kujiunga na DStv ikiwemo Dish, Dikoda, Rimoti, […]

Read More..

Diamond na Vanessa wamo kwenye shindano la ...

Post Image

Diamond Platnumz na Vanessa Mdee waingia tena kwenye shindano la MSANII BORA WA MWAKA 2017 ( “AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR”).   Diamond Platnumz pamoja na Vanessa Mdee wamechaguliwa kwa mara nyingine tena kuwania tuzo za nchini Nigeria “Too Exclusive Awards 2017″ na wote wametajwa katika kipengele kimoja cha msanii bora wa mwaka ( AFRICAN ARTISTE OF […]

Read More..

Audio : Kizungu Zungu kutoka kwa LavaLava

Post Image

Msanii wa muziki Bongo, LavaLava ameendelea kuwaburudisha mashabiki wake baada ya kuachia ngoma yake mpya ijulikanayo kwa jina la ‘Kizungu Zungu’, ngoma imefanyika Laizer ndani ya Wasafi Record. Kuisikiliza official Audio yake  bofya hapa chini

Read More..

VideoMpya : Sitamani kutoka Mimi Mars

Post Image

VideoMpya : Sitamani kutoka Mimi Mars Kwa mara nyingine tena Mimi Mars kaachia single/ngoma yake ya tatu inayojulikana kwa jina la “Sitamani” iliyotayarishwa na maproducers  Ammy and S2kizzy kutoka Switch Records. Young Lunya ndiye aliyeandika nyimbo na video yake imetayarishwa jijini Dar es Salaam, Tanzania chini ya Mkurugenzi Joowzey. Bofya Play kuitazama video yenyewe hapa […]

Read More..

Maisha ni Kupambana- Alex Sanchez

Post Image

Kama ulikuwa hufahamu, haya ni machache kuhusu mchezaji  Alex Sanchez ambaye teyari ameshajiunga na Manchester United.       Alimuepusha mama yake na kifungo. Baba yake Sanchez aliachana na mama yake kabla ya yeye Sanchez kuzaliwa. Baada ya kuzaliwa na Ili kumlea mtoto wake mama yake aliaanza biashara ya kuuza samaki. Na akiwa na umri […]

Read More..

Vincent Kigosi (Ray) ndani ya “BEST M...

Post Image

Msanii maarufu wa Filamu kutoka Tanzania ( Industry ya Bongo Movies) Ndg. Vincent Kigosi aka ” Ray ” leo ameandika kwenye ukurassa wake wa Instagram  “ VOTE FOR ME AS BEST MALE MOVIE STAR ” .   Hii ikiimanisha kuwa kwa upande wa wasanii wa filamu wa kiume jina lake limeingia kwenye orodha ya wasanii 14 […]

Read More..

Ray “The Greatest” amuandikia m...

Post Image

Leo ilikuwa siku ya “Birthday” kwa mtoto wao Vincent Kigosi & Chuchu Hans kutimiza mwaka 1. Katika maneno mazuri na matamu kwa mwenza wako, msanii huyu Nguli wa Bongo Movies Nd. Vincent Kigosi aka ” Ray The Greatest” kayaandika haya kwenye ukurasa wake wa Instagram na kumwambia mkewe haya …..Thanks Chuchu Hans Kwa Kunizalia Mtoto Huyu Sina […]

Read More..

Erick Omondi na Unanitekerenya Ukinyonga -T...

Post Image

Mchekeshaji wa Afrika Mashariki , Erick Omondi kutoka Kenya, leo January 16 katuletea  “COVER” ya nyimbo za Mkali wa bongoflava,THE BOY FROM TANDALE ambaye sio mwingine bali ni Diamond Platinum (Chief Dangote). Msanii huyu amekuwa akiziigiza nyimbo nyingi sana za wasanii akiwemo Diamond, Alikiba na wengineo wengi. Ukitakia kufaidi uondo zaidi wa Video yake hii aliyoitoa […]

Read More..

Mchekeshaji “Teacher Wanjiku” a...

Post Image

Mchekeshaji “Teacher Wanjiku” amewavunja mbavu watazamaji kwenye kipindi  cha luninga cha Churchill na kusema kuwa alimkatalia mumewe kurudi saloon baada ya kunyolewa nywele siku mbili tu na kutaka tena kurudi. Inaonyesha mumewe alipenda huduma nzuri iliyotolewa na dada wa Saloon hivyo akataka akanyolewe tena ingawaje alikuwa amenyolewe siku mbili zilizopita. Pia aliwaacha watu wakicheka akisema […]

Read More..

“Lau Nafasi” ni VideoMpya kutok...

Post Image

Video Mpya ya 2018 kutoka kwa mkali wa Kisingeli Man Fongo ambaye leo January 13, 2018 kaamua kuachia video yake mpya ijulikanayo kwa jina la “Lau Nafasi” .Bofya hapa chini kuitazama vidoe yake. Una comments zozote kama mshabiki wake? Uwanja ni wa kwako.

Read More..

Mwigizaji Johari Kuokoka!

Post Image

  MWIGIZAJI ‘mhenga’ Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amedai kubadili mfumo wa maisha yake na kuahidi kuokoka ili kujiweka karibu na Mungu, ikiwa ni pamoja na kuachana na maisha ya ajabu kama matumizi ya pombe. Johari aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, amebaini maisha ni mafupi duniani hivyo ni vyema kujisafishia njia na kumrudia Mungu ambaye ndiye mwokozi […]

Read More..

Siku Ya Leo Jinsi Ilivyokumbukwa na Wastara

Post Image

Kwa upande wa muigizaji Wastara Juma yeye amesema huwa anaitumia siku ya leo kwa kuangalia picha za aliyekuwa mume wake Sajuki Kilowoko amabaye alifariki  January 2, katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mrefu. Katika ukurasa wake wa Instagram Wastara ameandika “Naweza nikawa nakosea sana lakini sina jinsi ni mapenzi ya […]

Read More..

VideoMpya : Enock Bella wa Yamoto ameiachia...

Post Image

Msanii wa Bongofleva aliyekuwa anaunda kundi la Yamoto Band Enock Bella leo December 29 2017 ameachia video ya single yake ya pili baada ya kuanza kufanya kazi kama solo artist, bonyeza PLAY kuitazama inaitwa ‘Nitazoea’

Read More..

ACHA ASLAY ATAMBE… ALIFICHWA YAMOTO BAND!

Post Image

NAENDA Kusema ndio moja kati ya ngoma ambazo zilimfanya Aslay Isihaka ajulikane kwenye gemu la Bongo Fleva, wakati huo alikuwa chini ya mikono ya Mkubwa Fella kupitia Yamoto Band. Kadiri miaka ilivyozidi kusogea, imani kwa bwa’mdogo huyo ilizidi kuwa kubwa kwa mashabiki. Walioujua vizuri muziki wake waliweza kumfananisha na wasanii wakubwa tu Bongo lakini swali […]

Read More..

Alikiba sio level yangu – Aslay

Post Image

Msanii Aslay ambaye sasa hivi anafanya vizuri zaidi huku akiachia kazi mpya kila siku, amewataa mashabiki kutompambanisha na Alikiba au msanii yeyote, kwani hajaweza kufikia nafasi ya Alikiba. Aslay ameyasema hayo kwenye kipindi cha eNewz kinachorushwa na East Africa Televison, na kusema kwamba ingawa anaendelea kufanya vizuri lakini hawezi kupambanishwa na msanii huyo kwani hawako […]

Read More..

VideoMpya: KALA JEREMIAH – KIJANA (Of...

Kala Jeremiah leo kaja na kibao kipya cha nyimbo inayojulikana jina la  ‘kijana’ ambayo aliahidi kuitoa siku chache zilizopita.

Read More..