Vanessa Mdee anaikubali couple ya P Diddy n...
![Post Image](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/thumb-cache/VANESSA233-300x300-3da4f0a2ac7d6ab6e05377f351097a44-224x145-100-crop.jpg)
muziki Cassie kutokea Marekani inafahamika kuwa yupo katika uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake P Diddy ambao wamekuwa katika Uhusiano kwa kipindi kirefu hadi sasa. kupitia instagram account ya Cassie alipost video akiwa na P Diddy na kuandika caption nzuri kwaajili ya mpenzi wake P Diddy siku ya valentines February 14,2018 na kusema “Nawatakia siku ya wapendanao kutoka kwangu na mpenzi wangu” Katika comments msanii wa Bongo Fleva ameonekana kuikubali […]
Read More..