-->

Vanessa Mdee anaikubali couple ya P Diddy na Cassie.

muziki Cassie kutokea Marekani inafahamika kuwa yupo katika uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake P Diddy ambao wamekuwa katika Uhusiano kwa kipindi kirefu hadi sasa.

kupitia instagram account ya Cassie alipost video akiwa na P Diddy na kuandika caption nzuri kwaajili ya mpenzi wake P Diddy siku ya valentines February 14,2018 na kusema “Nawatakia siku ya wapendanao kutoka kwangu na mpenzi wangu”

Katika comments msanii wa Bongo Fleva ameonekana kuikubali couple hiyo kwa ku-comment.

“Tafadhali tafuta mwanaume ambaye atakuangalia kama P Diddy anavyomuangalia mwanamke wake Cassie kwenye video clip hii na hii ni baada ya miaka yote na bado”

VIDEOMPYA: D’banj – Shoulda

Bofya “play” kuitazama

Comments

comments

Post Tagged with , , , ,

Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364