Fid Q Amuweka Wazi Mpenzi Wake Awapiga Stop...
Mkali wa HipHop Bongo Fid Q ameonekana kukamatika kimahaba kwa mrembo ambaye amemtambulisha nyumbani kwao Mwanza na ameiambia eNEWZ kuwa kwa sasa yupo kwenye mahusiano rasmi. Fid Q amesema ameamua kupost picha kwenye mitandao yake ya kijamii ili kupunguza wasichana wengine kumtumia meseji za kumsumbua lakini pia kuwaonyesha mashabiki zake kwamba kwa sasa yupo katika […]
Read More..