Mike Sangu Afunguka Hatma ya Ndoa Yake na T...
JINA alilopewa na wazazi wake ni Michael Sangu lakini kwenye sanaa anatambulika kwa jina la Mike. Ni mwigizaji na mwongozaji wa filamu za Kibongo kwa muda mrefu. Habari kubwa zaidi katika maisha yake kwa sasa ni kuhusu ndoa yake na mwigizaji mwenzake Salome Ndumbangwe Misayo ‘Thea’. Ni zaidi ya mwaka mmoja sasa amekuwa na mgogoro […]
Read More..