-->

Tag Archives: RAMMY

Pacha wa Kanumba Adaiwa Kuwa Mhamiaji Haram...

Post Image

Mkali wa filamu Bongo, Rammy Gallis ‘Pacha wa Kanumba ’ anadaiwa kuishi nchini bila vibali maalum, jambo linalomuweka hatarini muda wowote kuweza kutimuliwa Bongo kutokana na tumbuatumbua ya Serikali ya Rais John Pombe Magufuli inayoendelea. Kwa mujibu wa chanzo, kuna hatihati kubwa ya msanii huyo ambaye wengi wamezoea kumuita Msomalia kufungashiwa virago kwani hana uhalali […]

Read More..