-->

Tag Archives: wema sepetu

Haya ndio maamuzi aliyoyafanya Shilole

Post Image

Story inayo-trend kwenye mitandao ya kijamii ni hii baada ya Wema Sepetu ku-post picha ya ua rose jekundu  na kuwa tofauti na wengine hii ni kutokana na  wengi kuzoea kuona ua jeusi ku-trend na kutafsriwa kama ishara ya penzi kuvunjika. Ila kwa upande wa staa wa muziki Shilole “Shishi baby” ameamua kuja na maamuzi yake juu ya ua lake […]

Read More..

Vazi la wolper yaleta gumzo.

Post Image

Usiku wa Vikings uliofanyika King Solomon siku ya Jumamosi March 10,2018 mastaa mbalimbali walijitokeza kushuhudia kile ambacho Papii Kocha na baba yake Babu Seyawaliandaa  baada ya kutumikia miaka 13 jela. Ukiongelea aina ya nguo”Fashion” ambazo mastaa walivaa usiku wa Vikings basi hauwezi kuacha kumtaja muigizaji Jacquline Wolper ambaye nguo yake ilizua maneno mengi katika mitandao ya kijamii ambapo wengi walisema kuwa amevaa parachuti. Kupitia mtandao wa snapchat wa Jacquline […]

Read More..

Wema Sepetu : Mahakamani Kisutu.

Post Image

Msanii Wema Sepetu leo amefika Mahakamani kufuatilia kesi yake ya kukutwa na msokoto wa Dawa za Kulevya aina ya Bangi Wema amefika Mahakamani hapo akiwa na Wakili Albert Msando aliyetangaza kumtetea baada ya Wakili Peter Kibatala kujitoa kumtetea msanii huyo mrembo Wema Sepetu ya kukutwa na msokoto wa bangi imesikilizwa leo February 8, 2018 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi […]

Read More..

Idriss Afunguka Kumpa Mimba Wema Sepetu

Post Image

Muigizaji wa filamu na mchekeshaji mahiri katika masuala ya komedi Idris Sultan amefunguka na kuweka wazi kuwa ni kweli alifanikiwa kumpatia ujauzito Wema Sepetu tena wa watoto wawili lakini kwa bahati mbaya uliharibika. Idris Sultan amesema hayo kwenye kipindi cha KIKAANGONI kinachorushwa kwenye ukurasa wa facebook wa EATV kila siku ya Jumatano kuanzia saa nane […]

Read More..

WEMA SEPETU: “Kiukweli wameniudhi sana kw...

Post Image

msanii nyota wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu, amemlipua mke wa ‘Nabii Tito’ baada ya mwanamke huyo kumshawishi kupitia mitandaoni aolewe na nabii huyo. Chanzo chetu makini kilisema kuwa, msanii huyo amekasirishwa na kitendo cha mke huyo kumshawishi kuolewa na mumewe anayeitwa Onesmo Machija ‘Nabii Tito’ “Wema Sepetu nakupenda sana hata Nabii Tito anakupenda sana, […]

Read More..