-->

Tag Archives: WEMASEPETU

Sijawahi na Sitokuwa na Mpenzi Mcongo -Wema...

Post Image

Muigizaji mwenye umaarufu mkubwa kwenye filamu za kibongo Wema Sepetu, amemkana raia wa Kongo ambaye watu wengi wanadai ana mahusiano naye ya kimapenzi. Katika ukurasa wake wa instagram Wema Sepetu ameandika juu ya taarifa hiyo na kusema kuwa hana mahusiano na raia huyo mkongo anayejulikana kwa jina la Apocalypse, sipokuwa anamfahamu kama rafiki tu kwake. […]

Read More..

Wema we Bado Mdogo Usizae – Mange Kimambi

Post Image

Blogger maarufu hapa nchini Mange Kimambi ametoa ushauri ambao mwenyewe ameuita wa bure kwa mwanadada mwenye jina lake hapa mjini Wema Sepetu, na kumtaka asizae kwa kulazimishwa na maneno ya watu, bali asubiri mpaka akiolewa. Mange ametoa ushauri huo kwenye ukurasa wake wa instagram baada ya seke seke lililomkuta mwanadada huyo la kushambuliwa na watu […]

Read More..

Wema Sepetu Alitamani Ajifungua Mtoto wa Ki...

Post Image

Usiku wa kuamkia leo, Idris Sultan ameandika waraka mrefu kuhusiana na ujauzito wa mpenzi wake, Wema Sepetu ambao kwa post ile amemaanisha haupo tena (umetoka), lakini siku chache zilizopita wakati akiwa na mimba alitamani sana ajifungue mtoto wa kiume kwa kuwa kwenye familia yao wamezaliwa wote wanawake. ā€¯Yaani huwezi amini kabla sijashika mimba nilikuwa na […]

Read More..