VIDEO: Amber Lulu Apatwa Kigugumizi Kisa Harmorapa
Video queen na msanii wa bongo fleva Amber Lulu amepatwa na kigugumizi baada ya kuulizwa kuhusiana na kutoka kimapenzi na Harmorapa na kujikuta akipata wakati mgumu kuelezea jambo hilo.
Amber Lulu alihojiwa kwenye kipindi cha Planet bongo ya East Africa Radio na kusema picha zinazozangaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonyesha yeye na Harmorapa ni picha katika project yao wao.
Tazama video hapa msikilize mwenyewe Amber Lulu akinyoosha maelezo.