-->

Video: Haya Ndiyo Maisha Halisi ya Harmorapa na Mpenzi Wake

MPAKA HOME: Msanii chipukizi anayekuja kwa kasi kwenye gemu la muziki wa kizazi kipya Bongo, Harmorapa aliyejipatia umaarufu kutokana na kufanana na msanii kutoka WCB, Harmonize, ameyaanika maisha yake ya kila siku na mpenzi wake ‘Wolper’ baada ya kutembelewa na MPAKA HOME ya Global TV Online.

Ungana na mwandishi wetu, Imelda Mtema aliyemtembelea mpaka home kwake.

Chanzo:GPL

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364