VIDEOMPYA : Diamond platnumz akishirikishana na Omarion, “African beauty”.
Leo tarehe 16 march,2018 msaani wa bongo, Diamond platnumz ameachilia nyimbo mpya akishirikishana na msaani wa marekani, Omarion. Ngoma hii inaitwa “AFRICAN beauty”.
Unaweza kuangalia video hii hapa bila shida yoyote
Bofya hapa chini kutazama video hi