VideoMPYA: Joh Makini ameiachia zawadi ya Xmass ‘Mipaka’
Mkali wa Hip Hop kutoka Weusi Kampuni Joh Makini amaeamua kuachia video mpya inayoitwa ‘Mipaka’ kama zawadi ya Xmass kwa mashabiki wake, tazama video yake na usiache kulike video hii ilijohn Makini apete kujua mashabiki wake wameupenda mwimbo wake