VideoMPYA: Nyimbo ya kwanza ya MBOSSO baada ya kutambulishwa WCB
Baada ya kimya cha muda mrefu cha muimbaji wa Bongofleva Mbosso aliyekuwa member wa Yamoto Band, Mbosso leo ametambulishwa rasmi kuwa msanii wa sita kusainiwa na WCB baada ya Harmonize, Rayvanny, Rich Mavoko, Queen Darleen na Lava Lava , baada ya utambulisho tu Mbosso ameachia video yake mpya inaitwa ‘Watakubali’