-->

Wahu Ndiye Mke Sahihi Kwangu – Nameless

Msanii kutoka nchini Kenya, ‘Nameless’ amemmwagia sifa mke wake ambaye pia ni msanii mwenzake ‘Wahu’ kuwa ni mke sahihi katika maisha yake.

nameless

Wahu & Nameless

“Nina miaka 11 sasa tangu nifunge ndoa na Wahu, naweza kusema kuwa huyu ni mwanamke sahihi kwangu kwa kuwa kila mmoja hakuna ambaye amemtuhumu mwenzake kutoka nje ya ndoa.

“Kupendana kunatufanya kila mmoja kumwamini mwenzake, huu ni mfano wa kuigwa kwa wasanii wengine pamoja na vijana wa sasa, lakini wengine wamekuwa wakifunga ndoa na baada ya muda wanaachana,” alisema Nameless.

eatv.tv

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364