-->

Aunty Ezekiel na Mose Iyobo Wanatarajia Mtoto wa Pili

Hii ni picha ambayo imekuwa ikisambaa kwa kasi katika mtandao wa Instagram ni picha ya muigizaji Aunty Ezekiel pamoja na mpenzi wake Mose Iyobo.

iyobo6

Imepostiwa na baadhi ya watu ikiwemo Mose Iyobo mwenyewe inamuonesha Aunty Ezikiel akiwa mjamzito, kitu ambacho kimefanya baadhi ya mashabiki wao kutoa comment za pongezi.

Kama utakuwa unakumbuka vizuri Mose Iyobo na Aunty Ezekiel wana mtoto wa kike anayejulikana kwa jina la Cookie hivyo kwa mujibu wa post ya Mose Iyobo inawezekana wakawa wanatarajia mtoto wa pili.

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364