-->

Dude Alia na Hili Bongo Muvi

Muongozaji na mwigizaji mahiri wa filamu, Kulwa Kikumba ‘Dude’ anasema kuwa ili tasnia ya filamu isonge mbele lazima wasanii na wadau wote washikane na kuwa kitu kimoja ndio maslahi ya kweli yataoneka na kusonga mbele na kuijenga tasnia ya filamu.

dude1

Kulwa Kikumba ‘Dude’

“Tukiwa na umoja tunaweza kuwa na nguvu katika jamii, angalia mfano juzi hivi karibuni uliibuka mtafaruku Bodi ya Filamu ya India na watengenezaji filamu wa nchi hiyo wakipinga kuzuiwa kwa filamu ya Udta Punjab,”Dude

Filamu ya Udta Punjab inaelezea athari za madawa ya kulevya eneo la Punjab ambapo Central Board of Film Certification iliamua zaidi ya vipande 89 vya filamu hiyo vikatwe kutokana na maoni ya viongozi wa Jiji la Punjab kuonyesha jinsi vijana wakiathiriwa na Madawa ya kulevya.

FC

NUNUA FILAMU KUTOKA STEPS ENTERTAINMENT: TUNAKUFIKISHIA POPOTE PALE ULIPO:

Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.

KAMA WEWE NI MFANYA BIASHARA UNATAKA KUWA WAKALA WA KUSAMBAZA FILAMU POPOTE PALE:

Piga namba hizi: 0673 348 364 au 0754 256 489.

Filamu Zilizotoka Hivi Sasa >>>>HIZI HAPA

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364