-->

Daily Archives: December 19, 2015

King Majuto Kuja na Lakuvunda

Post Image

AMRI Athuman ‘King Majuto’ baada ya kutoka Hija anatarajia kuja na filamu kali ya Lakuvunda ambayo itakuwa ni funga mwaka 2015, sinema hiyo ambayo imetengenezwa katika kiwango cha kimataifa, akiongea FC msemaji wa kampuni ya Splash Entertanment Steve Selenge amesema ni kazi nzuri. “Filamu ya Lakuvunda imetengenezwa katika kiwango cha hali ya juu sana maana […]

Read More..

Picha: Shoo ya Diamond Kwenye Born2Win Conc...

Post Image

Usiku wa jana msanii Diamond Platinum alitumbuiza kwenye tamsasha kubwa ‘Born 2 Win Concert’ jijIni Kampala, Uganda. Mbali na Diamond msanii Patoranking naye alitumbuiza kwenye tamasha hilo. Hizi ni baadhi ya picha za Diamond akitumbuiza kwenye tamasha hilo.  

Read More..

Kaeni Mkao wa Kula,Riyama na ‘Pacha’ wa...

Post Image

Mastaa wakali wa Bongo Movies, Riyama Ally na mwanaheri  kwasasa wapo lokesheni wakishuti kazi yao mpya . Mwanaheri ambaye ni msanii anayekuja kwenye tasnia kwa kasi ya ajabu amefanikiwa kuwateka mashabiki nakupeleikea wamtabilie makubwa kwenye tasnia hiyo kutokana na uwezo wake katika kuigiza. Mbali na kufanana kimuonekano Mwanaheri  amekuwa akifananishwa na Riyama hata kwenye uigizaji […]

Read More..

Ujumbe Huu wa Ray Umewagusa Wengi

Post Image

Mkali wa Bongo Movies, Vincent Kigosi ‘Ray’ kwa mara kadhaa amekuwa akiandika ujumbe mbali mbali kwenyekupitia ukurasa wake mtandaoni kuhusu maisha kwa ujumla. Kila mtu amekuwa akizichukulia jumbe hizo kwa namna anavyofikiria yeye mwenyewe lakini huu wa leo umewakuna wengi. Ray ameandika; “Katika maisha unapoamua kuwa na mtu ni kwa maisha yako usihitaji mtu kwa […]

Read More..