-->

Daily Archives: December 30, 2015

Theresa Shayo: Miss Tanzania Mwafrika wa Kw...

Post Image

Mwaka 1960 ndipo Mashindano ya urembo nchini yalipoanza na hayatakuwa na muonekano wa kimataifa kwa sababu yalifanyika kwenye maeneo machache.Kwani kumbukumbu zilizopo zinaonyesha kwamba mrembo wa kwanza kunyakua taji hilo la Miss Tanzania, si mwingine bali alikuwa Theresa Shayo. M’s Tanzania wa Kwanza (Hayati Theresa)   Kutokana na maadali na utamaduni ya mtanzania serikali ililazimika […]

Read More..

JB Afunguka ya Moyoni Kuhusu Richie

Post Image

JB ameandika haya kwenye ukurasa wake mtandaoni mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu akiwa na Richie. “Wakati tunaelekea kutimiza miaka 15 ya Jerusalem films company nitakuwa nawashukuru watu ambao kwa kiasi kikubwa wamegusa maisha na kutoa mchango kwa Jerusalem, wa kwanza ni huyu Richie. Wewe ni ndugu yangu umenifanyia mengi sana, kwa kifupi […]

Read More..

Picha: Richie Ajikita Kwenye Uchimbaji wa M...

Post Image

Staa mkongwe wa Bongo Movies, Single Mtambalike ‘Richie’ amewadokeza mashabiki wake kuwa mbali na uigizaji na utengenezaji wa filamu huwa anajishughulisha na uchimbaji wa madini. Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa Instagram, Richie amebandika picha akiwa majimbona na wawekezaji na kuandika; “Wakati mwingine najihusisha na uchimbaji madini.”Kisha akaendelea; “Karibuni sana wawekezaji nina maeneo ya […]

Read More..

Zitazame Picha za Waziri Nape Alivyozindua ...

Post Image

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akihojiwa na  mtangazaji mashuhuri wa Azam TV Taji Liundi muda mfupi kabla ya kuzindua filamu mpya ya Home Coming kwenye ukumbi wa Century Cinema ,Mlimani  City jijini Dar es Salaam.Wadau wa Sanaa na Utamaduni wakisubiri kushuhudia uzinduzi wa filamu mpya ya Home Coming.Mmoja wa washiriki wa Filamu […]

Read More..