-->

Daily Archives: April 13, 2016

TCRA Yawapa Kibano Akina Lulu!

Post Image

Kufuatia tabia ya akina dada wengi kuweka picha za nusu utupu katika akaunti zao kwenye mitandao ya kijamii, wakiwemo mastaa kama Lulu, Masogange na wengineo, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewapa kibano kikali, Risasi Mchanganyiko lina stori kamili. Akizungumza na gazeti hili mwishoni mwa wiki iliyopita, Meneja Mawasiliano wa Mamlaka hiyo, Innocent Mungi alisema ingawa […]

Read More..

‘Sikupendi Wala Sikuzimii Marekani...

Post Image

Msanii Diamond Platnumz amefunguka kuhusu suala la yeye kutonunua nyumba nchini Marekani kama wasanii wenzake wakubwa wa Afrika wanavyofanya. Diamonda amefunguka hilo kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, na kusema kuwa haoni umuhimu wa yeye kununua nyumba Marekani, tofauti na alivyonunua Afrika Kusini, kwani kule ilimlazimu. “Nna nyumba South Africa kwa sababu nina familia […]

Read More..

Ray Atuhumiwa Uchawi, Afunguka

Post Image

Staa wa filamu za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ ameingia kwenye kashfa nzito baada ya kudaiwa kutumia ndumba kwenye sanaa ili kuwa juu ya wenzake, Risasi Mchanganyiko limetonywa. Chanzo kutoka Bongo Muvi kilieleza madai kwamba msanii huyo mwenye jina kubwa, amekuwa ‘akiwachezea’ wenzake ili wasifanye vizuri kwenye soko la sanaa na sasa hivi ndiye anayeongoza kwa […]

Read More..

Mtunis: Filamu za Bongo Zinalipa Sana

Post Image

STAA wa filamu nchini, Nice Mohammed ‘Mtunis’, alisema soko la filamu litakuwa kubwa kama filamu zinazozalishwa nchini zitakuwa na ubora unaotakiwa kwa jamii ambao ndio wanunuaji. Mtunis aliliambia MTANZANIA kwamba licha ya waigizaji na wadau wengi kudai kwamba filamu za Bongo hazilipi yeye anasema kwamba filamu hizo zinalipa ila zisizolipa ni zile zinazokosa uandaaji mzuri. […]

Read More..

Joka la Kijiji Filamu Kubwa Kutengenezwa Bo...

Post Image

Hatimaye filamu ya kwanza ya aina yake inayohusisha joka kubwa linalosumbua wanakijiji na kumeza watu imekamilika kutengenezwa. Filamu hiyo iliyopewa jina la JOKA LA KIJIJI imetengenezwa na kampuni mpya ya Zakwetu Network. Mtunzi na muongozaji wa filamu hiyo, Mkongwe Sultan Tamba ambaye ndiye aliyesukuma gurudumu la tasnia ya mlipuko wa filamu kwa kutunga na kutayarisha […]

Read More..