-->

Daily Archives: April 20, 2016

Video ya NdiNdiNdi imemrudisha Jide kwa Cam...

Post Image

Baada ya miaka 10 ya kufanyakazi na muongozaji wa video Justin Campos, Komando Jide au Lady Jaydee amerudi tena kwake kufanyanaye kazi, kutengeneza video ya wimbo wake wa #NdiNdiNdi Taarifa hiyo ya kufanyakazi na Justin Campos ameitoa Lady Jaydee mwenyewe kwenye ukurasa wake wa Instagram, baada ya kupost video ikimuonyesha Justin Campos akisema ni heshima […]

Read More..

Nikikutana na Nay wa Mitego sina time naye,...

Post Image

Shamsa Ford na Nay wa Mitego ni pua na moshi. Shamsa Ford amesema akikutana na Nay wa Mitego hawezi salimiana naye kutokana na mambo ambayo walifanyiana. Mwigizaji huo wa filamu aliwahi kukiri kwamba hawezi toka tena kimapenzi na staa, ikiwa ni muda mchache toka aachane na Nay wa Mitego. Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni, Shamsa […]

Read More..

Chidi Benz Atimiza Mwezi Sober House, Adai ...

Post Image

“Sina mengi ya kuongea, niko sawa, nipo okay, niko fresh na msaada naupata,” anasema Chidi Benz kwenye video iliyowekwa kwenye Instagram na Kalapina. Rapper huyo anatimiza mwezi tangu aingie sober house. Kuna mabadiliko makubwa katika muonekano wake ukilinganisha na jinsi alivyokuwa wakati akiingia. Afya yake ilikuwa imedhoofika kwa kiasi kikubwa na kuwatisha watu wengi hadi […]

Read More..

TRA Yakamata DVD Bandia Zenye Thamani ya Bi...

Post Image

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekamata CD na DVD 650,000 zenye thamani ya Sh bilioni moja kwa ukwepaji wa kodi. Pia katika zoezi hilo mitambo 47 ya kudurufu CD na DVD pamoja na kompyuta nne zimekamatwa. Mkurugenzi wa Huduma na Elimu ya Mlipa Kodi wa TRA, Richard Kayombo, alisema bidhaa hizo zilipatikana baada ya  kuwepo […]

Read More..

Huku Mitaani ni Shidaa Tajiri Mfupi Tajiri...

Post Image

MWIGIZAJI wa filamu Hussein Khamis ‘Chodo’ amefunguka kwa kusema kuwa kwa sasa anajikuta yupo katika wakati mgumu sana kutokana umaarufu aliopata baada ya kuigiza kama mwigizaji kinara katika filamu ya Tajiri mfupi kutikisa. “Sitaki kuwa na mpenzi sijui demu kwa sasa na kama nitataka kuwa hivyo nitaoa kwa kufuata taratibu za kidini utaratibu unajulikana, wengi […]

Read More..

Gigy Money Amtolea Mapovu Nay wa Mitego

Post Image

Mrembo anayefanya poa kwenye video za wasanii wa Bongo kama video model Gigy Money, amempa za uso msanii Ney wa Mitego na kumuita mpumbavu asiyejitambua ni nani, baada ya kumtapeli pesa yake. Gigy Money ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, na kusema kuwa kama msanii hawezi kuwaimba […]

Read More..