-->

Huku Mitaani ni Shidaa Tajiri Mfupi Tajiri….- Chodo

MWIGIZAJI wa filamu Hussein Khamis ‘Chodo’ amefunguka kwa kusema kuwa kwa sasa anajikuta yupo katika wakati mgumu sana kutokana umaarufu aliopata baada ya kuigiza kama mwigizaji kinara katika filamu ya Tajiri mfupi kutikisa.

Tajiri-mfupi78

MWIGIZAJI wa filamu Hussein Khamis ‘Chodo’

“Sitaki kuwa na mpenzi sijui demu kwa sasa na kama nitataka kuwa hivyo nitaoa kwa kufuata taratibu za kidini utaratibu unajulikana, wengi wanajua kweli mimi ni Tajiri wangetaka kuwa na mimi,”anasema Chodo.

Chodo anasema kuwa anajikuta kutumia usafiri wa kukodisha ili aweze kuwahi kama kuna sehemu anatakiwa bila hawezi kuwahi kutokana na kila mtu akitaka kuongea naye na kumuuliza maswali kama kweli yeye ni tajiri na ana mke jibu kutoka kwake hana mke wala mchumba, ikifika atawajulisha.

Comments

comments


Unataka kutangaza nasi? Tumia namba ya simu hapo chini.

Please contact us: email : info@bongomovies.com or Mobile: +255 756 348 364